Habari za Punde

Takwimu za bei mwezi Februari 2019 zatolewa

 Mkuu wa Takwimu za Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa Takwimu za Bei ambapo imeonekana kushuka kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka uliomalizia January 2019 hadi asilimia 2.6 kwa mwaka uliomalizia February 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Mazizini mjini Zanzibar. 
Baadhi ya Waalikwa  waliohudhuria katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Mazizini mjini Zanzibar


  Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Mazizini mjini Zanzibar 
  Afisa Uchumi na Mafuta (ZURA)Omar Ali Yussuf akitolea ufafanuzi baaqdhi ya maswali yalioulizwa  katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Mazizini mjini Zanzibar. 
 Meneja Uchumi Benki ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto N'gwinganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa   katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za  ambapo imeonekana kushuka kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka uliomalizia January 2019 hadi asilimia 2.6 kwa mwaka uliomalizia February 2019 hafla iliofanyika  Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Mazizini mjini Zanzibar. 

 
Afisa Uchumi na Mafuta (ZURA)Omar Ali Yussuf kulia akibadilishana mawazo na Mtaalamu wa Uchumi chuo Kikuu cha Taifa SUZA Dk, Suleiman Simai Msaraka katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  Mazizini mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.