Habari za Punde

SERIKALI YAKABIDHI NDEGE YAKE YA FOKKER 50 KWA ATCL

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akipeana mikono na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leonard Chamriho baada ya kumkabidhi ndege serikali aina ya Fokker 50 ili aikabidhi kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida  kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli

kwenye hafla fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso.

Ndege aina ya Fokker 50 iliyokabidhiwa na serikali  kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli   katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na  Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leonard Chamriho baada ya kukagua ndege aina ya Fokker 50 iliyokabidhiwa na serikal kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida  kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli  kwenye hafla fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019. Nyuma yao Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akipeana mikono na marubani wa ndege aina ya Fokker 50 iliyokabidhiwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli  kwenye hafla fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019. Nyuma yake ni  Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leonard Chamriho, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Injinia Emmanuel Korosso

Wafanyakazi wa ATCL wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya Ndege aina ya Fokker 50 iliyokabidhiwa na serikali  kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli  katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo Aprili 1, 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.