Habari za Punde

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, katika kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) , kwenye viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, Meneja wa Kanda wa TCRA, Anthonio Manyanda, wakati akikagua mabanda, kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) , yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma
 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, katika kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) , yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma
 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia, katika kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) , kwenye viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma
 Wajasiriamali wadogo wadogo (Wamachinga) wakimsikilizaWaziri  Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akihutubia, katika kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) , yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.