Habari za Punde

Bonaza la Pasaka Mbio za Mita Mia Moja na Kufukuza Kuku Ikulu Zanzibar na Ikulu Dar es Salaam Uwanja wa Mao Zedung's leo.

Mshindi wa mbio za Mita Mia Moja kutoka Timu ya Ikulu Spostr Club Zanzibar Ndg. Vuai Suleiman akifuatiwa na Mshindi wa Pili kutoka Ikulu Sports Club Dar es Salaam Ndg Mwabora Richard. 
Mshindi wa mbio za Mita Mia Moja kutoka Timu ya Ikulu Spostr Club Zanzibar Ndg. Vuai Suleiman akifuatiwa na Mshindi wa Pili kutoka Ikulu Sports Club Dar es Salaam Ndg Mwabora Richard. 
Washiriki wa mbio za kufukuza Kuku wakijiandaa na mbio hizo wakati wa Bonaza la Michezo ya Pasaka lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung's Zanzibar na kushirikisha Timu za Ikulu Zanzibar na Ikulu Dar es Salaam. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.