Habari za Punde

Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na wabunge wakifurahia katika mazungumzo na  Peter Mollel maarufu kwa jina la Pierre Konki Liquid  (katikati) kwenye  viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 3, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Mariamu Ditopile, Mbunge wa Viti Maalum, Munde  Tambwe, Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais na Mbunge wa Singida Mjini, Mussa Sima, Mbunge wa Kiembesamaki, Ibrahim Raza na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.