Habari za Punde

Makabidhiano ya Madawati Skuli ya Msingi Pangawe Wilaya ya Magharibi B Unguja leo.

Mwenyekiti wa kamati ya madawati Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman (wa kwanza kushoto) na makamo mwenyekiti wa kamati hio Mhe Riziki Pembe Juma (kulia) wakikagua madawati katika Skuli ya Msingi Fuoni Pangawe. (katikati) ni meneja msaidizi wa kampuni ya China Builder Construction bwana Zangyu.
Makamo Mwenyekiti wa kamati ya madawati ambae pia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma wakiagana na Meneja msaidizi wa kampuni ya China Builder Construction Bwana Zangyu baada ya kukagua madawati katika skuli ya Msingi Pangawe.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.