Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya JKU na Malandege Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare Bila Kufungana.

Mashabiki na Wapenzi  wa Timu ya Mlandege wakishangilia Timu yao wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji wa Timu ya JKU akimpita beki wa Timu ya Mlandege wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.