Habari za Punde

Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Matumizi ya Dawa za ARV.

Dk Fatma Kamus aliwasilisha mada juu ya Umuhimu wa Kutumia dawan za ARV kwa watu wenye VVU, wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari Kisiwnai Pemba, yaliyoandaliwa na Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake
BAADHI ya Waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya Habari wakifuatila kwa makini, uwasilishaji wa mada umuhimu wa kutumia dawa za ARV kwa watu wanaishi na VVU Pemba, mfunzo hayo yaliyoandaliwa na  Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake
BAADHI ya watendaji wa Tume ya Ukimwi zZanzibar (ZAC), wakwanza kushoto ni  Zaina Abdalla Mzee, katikati ni  Siahaba Saadat Iddi na Ali Mbarouk Omar, wakifuatilia kwa makini  uwasilishaji wa mada juu ya Umuhimu wa kutumia dawa za ARV kwa watu wanaoishi na VVU Pemba, wakati wa   mfunzo yaliyoandaliwa na  Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake.
MWANDISHI wa habari wa ZBC Kassim Amoud akipiga picha kuona jinsigani Dawa za ARV zilivyohifadhiwa, wakati wa  mfunzo hayo yaliyoandaliwa na  Tume ya Ukimwi Zanzibar kwa kushirikiana na Amref Heath Africa, kupitia mradi wake wa afya kamilifu, mafunzo yamefanyika Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.