Habari za Punde

Zantel yamwaga zawadi kwa washindi wa shindano la Tumia Ezypesa Ushinde Chake pemba

Mkuu wa Zantel ZanzibarNdg. Mahammed Baucha akimkabidhi zawadi  Msindi wa Tumia Ezypesa na Ushinde  kutoka Kisiwani Pemba Ndg.Mohmoud Abdalla katikati na kushoto Mkuu wa Mawasiliano na Utawala wa Zantel Tanzania,Ndg. John Sicilima, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Zantel Chakechake Pemba.
MKUU wa Mawasiliano na Utawala wa Zantel Tanzania, Ndg.John Sicilima,akimkabidhi zawadi ya fulana na Fedha Taslim Shulingi laki Tatu Ndg. Suleiman Azizi Zahor, (katikati)kupitika shindano la Tumia Ezypesa Ushinde, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Zantel Chakechake Pemba.kushoto Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg,Mohammed Baucha. 
MKUU wa Zantel Zanzibar .Ndg.Mahammed Baucha akimkabidhi zawadi mshindi wa Ezypesa na Ushinde Ndg.Ali Shaibu  (katikati) na kushoto MKUU wa Mawasiliano na Utawala wa Zantel Tanzania,Ndg. John Sicilima, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Zantel Chakechake Pemba. 
Mkuu wa Zantel ZanzibarNdg. Mahammed Baucha akimkabidhi zawadi  Msindi wa Tumia Ezypesa na Ushinde  kutoka Kisiwani Pemba Ndg.Mohmoud Abdalla katikati na kushoto Mkuu wa Mawasiliano na Utawala wa Zantel Tanzania,Ndg. John Sicilima, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Zantel Chakechake Pemba.
MKUU wa Mawasiliano na Utawala wa Zantel Tanzania,Ndg. John Sicilima wa kwanza kulia akimkabidhi simu mshindi wa simu Ndg.Ali Mohamed Ali,katikati na kushoto Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg. Mohammed Mussa Baucha ambaye ameshinda katika shindano la tumia Ezypesa na ushinde, hafla iliyofanyika Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.