Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Ajumuika na Watoto wa Kijiji cha SOS Katika Futari Aliowaandalia Katika Makaazi Yao Mombasa Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanawema Shein, akijumuika na Watoto Wanaoishi katika Kijiji cha Watoto Cha SOS Mombasa Zanzibar  Wilaya ya Magharibi B Unguja katika futari Maalium aliyowaandalia Watoto wa SOS jana katika makaazi yao.
Watoto wa Kijiji cha Watoto cha SOS Mombasa Zanzibar wakichukua futari Maalum walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kujumuika yao katika futari hiyo iliofanyika katika makaazi yao Mombasa Zanzibar.

Watoto wa Kijiji cha Watoto cha SOS Mombasa Zanzibar wakichukua futari Maalum walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kujumuika yao katika futari hiyo iliofanyika katika makaazi yao Mombasa Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.