Kwa habari zilizotufikii muda huu Ndugu yetu Abdi Ali Mzee (Mrope)Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani Kichama Unguja amefariki dunia jioni hii akiwa katika matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Alikuwa Nahodha wa Timu ya African Kids ya Mikunguni Unguja na pia alikuwa mkufunzi wa ukocha wa Timu ya Kwa Boko Kidongochekundu
Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho Msikiti wa kwa Boko Zanzibar baada ya sala ya Adhuhuri baada kufika kwa mwili wa marehemu ukitokea Jijini Dar es Salaam yalikomkuta mauti jioni hii
Innalli Llaah Inna Rajun.
Mungu Amlaze mahala pema poponi Ameen.
No comments:
Post a Comment