Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akifurahia jambo na Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu, Stella Ikupa, Bungeni jijini Dodoma Mei 3.2019
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, Bungeni jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 3.2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.