Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya zinazolima zao la pamba katika mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya zinazolima zao la pamba katika mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza,
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza katika mkutano aliouitisha kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment