Habari za Punde

Matukio Kutoka Bungenin Jijini Dodoma leo.

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Angela Kairuki Bungeni jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama Bungeni jijini Dodoma
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba,  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 8.2019, katikati ni Mbunge wa Mbozi Magharibi, David Silinde
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge David Silinde (kushoto) wa Mbozi Magharibi na Peter Serukamba (katikati) wa Kigoma Kaskazini, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 8.2019, katikati ni,.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.