Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA, WAKUU WA WILAYA, WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Wakuu wa Wilaya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.