Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI MGENI RASMI KWENYE MASHINDANO MAALUMU YA 20 YA QUR-AAN TUKUFU AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Bi. Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania baada ya kupataalama 98.66 na kuibuka mshindi watano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumapili Mei 19, 2019

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliakimzawadiaBw. Shamshuddin Hussein Ali wa Zanzibar baadayakuzoaAlama  98.83 nakuibukamshindiwatatuwaWashindiwaKuhifadhiJuzuu 30 katikamashindanomaalumuya 2o yaQur’aanTukufuyaliyofanyikaUwanjawaTaifajijini Dar es salaam
 :RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliakimzawadiaBw. FaruqKabiruYakubuwa Nigeria baadayakuzoaAlama  98.91nakuibukamshindiwaPiliwaWashindiwaKuhifadhiJuzuu 30 katikamashindanomaalumuya 2o yaQur’aanTukufuyaliyofanyikaUwanjawaTaifajijini Dar es salaam
: RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliakimzawadiaBw. Mohamed El MoujabbaDiallowa Senegal baadayakuzoaAlama99.88nakuibukamshindiwaKwanza waWashindiwaKuhifadhiJuzuu 30 katikamashindanomaalumuya 2o yaQur’aanTukufuyaliyofanyikaUwanjawaTaifajijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya waumini wa Kiislamu na wadau wengine wakati akihitimishama shindano maalumu la 2o ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leoJumapili Mei 19, 2019

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.