Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba wakati
akiwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Shirika hilo katika Gorofa la
Extelecom Posta jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wakuu wa Mikoa minne nchini kwa njia ya Simu ya Video Conference mara baada ya kuwasili
katika Makao Makuu ya Ofisi za Shirika
hilo la TTCL lililopo katika Gorofa la Extelecom Posta jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vitendea kazi
mbalimbali katika makumbusho iliyopo ndani ya Ofisi za Shirika la Mawasiliano
Tanzania TTCL jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Gawio la Serikali kiasi
cha Shilingi Bilioni 2.1 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano
Tanzania TTCL Waziri Kindamba, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Isack Kamwelwe pamoja na
Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omar Nundu katika hafla fupi iliyofanyika
katika makao makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali
waliofika katika hafla ya upokeaji wa Gawio kwa Serikali kutoka kwa Shirika la
Mawasiliano TTCL jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali
waliofika katika hafla ya upokeaji wa Gawio kwa Serikali kutoka kwa Shirika la
Mawasiliano TTCL jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment