Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Magufuli Aongoza Wananchi Katika Maombolezaji ya Kuuaga Mwili Marehemu Dkt. Reginald Mengi Jijini Dar es Salaam leo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja  na viongozi wengine wakiwa katika dua na waombolezaji wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo

Jumanne Mei 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja  na viongozi wengine wakiwa wameungana na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja  na viongozi wengine wakiwa wameungana na waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akitoa salamu za serikali wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa karibu wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mtoto wa Marehemu Bw. Abdiel Mengi wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa shemeji wa marehemu Bi. Shimimana Ntuyabaliwe wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mjane wa marehemu Bi. Jacquiline Mengi wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa  Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa watoto mapacha wa marehemu wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa binti wa marehemu Bi. Regina Mengi wakati alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwili kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
                                                                           Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.