Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, Amaliza Ziara Yake Maalum Kwa Ajili ya Kujumuika na Wananchi wa Pemba Katika Hafla ya Futari Kwa Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Wananchi na Viongozi wa Serikali Uwanja wa Ndege wa Chakechake baada ya kumaliza ziara yake Maalum kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba Katika Futari aliowaandalia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake baada ya kumaliza ziara yake Maalum kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba Katika Futari aliowaandalia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman, Uwanja wa Ndege wa Chakechake baada ya kumaliza ziara yake Maalum kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba Katika Futari aliowaandalia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kasini Pemba Mhe. Hemed Suleiman, Uwanja wa Ndege wa Chakechake baada ya kumaliza ziara yake Maalum kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba Katika Futari aliowaandalia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.