Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein Ajumuika na Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd na Wananchi Katika Futari Iliofandaliwa na PBZ Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd. Ndg. Juma Ameir Hafidh, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria Futari ilioandaliwa na PBZ, katikati Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdulwawa 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wafanyakazi wa PBZ na Wananchi katika futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar. 
Balozi Mdogo wa China Anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Xie Xiuow akijumuika na Wafanyakazi wa PBZ na Wananchi katika futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Wananchi wakipata futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd (PBZ) katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakipata mlo huo.

Wananchi wakipata futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd (PBZ) katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakipata mlo huo.
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar MheBalozi Amina Ali Salum akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi. Khadija Shamte wakipata futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar kwa Wateja na Wananchi wa Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd Bi. Kidawa Himid Saleh akijumuika na Wafanyakazi wa PBZ na Wananchi katika futari Maalum iliondaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Waziri wa Biasha na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali akijumuika na Viongozi wa PBZ katika Futari Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Wateja wao iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar., katikakti Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi. Khadija Shamta.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi katika meza kuu kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Mjumbe wa Bodi ya PBZ Ndg. Yakout Hassan Yakout na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.  
Wafanyakazi wa PBZ na Wageni Waalikwa wakijumuika katika futari hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar. 
Wananchi na Wafanyakazi wa PBZ wakipata futari Maalum ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Wananchi na Wafanyakazi wa PBZ wakipata futari Maalum ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Wananchi na Wafanyakazi wa PBZ wakipata futari Maalum ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.