Waheshimiwa Mussa Ali Mussa wa Jimbo la Ole Pemba , na Mheshimiwa Ali Suleiman Shihata , Mheshimiwa Panya Ali Abdalla Viti maalumu Kaskazini Unguja wakiwa katika hafla ya mashindano ya kuhifadhi Quraan tukufu yalioandaliwa na jumuiya ya Maendeleo ya kuhifadhisha quraan ya Jimbo la Ole .
Wanafunzi akishiriki katika mashindano ya Kuhifadhi Quran Juzuu majo mpaka juzuu 30 yaliofanyika katika Jimbo la Ole Pemba na kuwashirikisha Wanafunzi wa rika mbalimbali

Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa mbali za Ole wakisikiliza Wanafunzi wenzao wakisoma katika mashindano hayo.
Picha na Bakar Mussa Pemba.
No comments:
Post a Comment