Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Uratibu na Uwekezaji) Bi. Dorothy Mwaluko akisisitiza umuhimu wa Wakurugenzi wa Halmashauri zinazonufaika na mradi wa timiza ndoto zako Walayani Bahi Mkoani Dodoma
MkuuwaWilayayaBahiMhe.
MwanahamisiMukundaakizungumzawakatiwahaflayakuzunduliwakwamradiwatimizandotoyakoWilayaniBahimkoani
Dodoma.
MkurugenziMtendajiwaTumeyaTaifayaKudhibiti
UKIMWI (TACAIDS) Dkt. Leonard
MabokoakisisitizajambokwaKatibumkuuOfisiyaWaziriMkuu(Sera, UratibunaUwekezaji) Bi
DorothyMwalukoambayealikuwamgenirasmiwakatiwahaflayakuzinduamradiwatimizandotozako.
KatibumkuuOfisiyaWaziriMkuu
(Sera, UratibunaUwekezaji) akiwanamkurugenziwa TAYOABw. Peter MasikamarabaadayakutembeleabasilinalotoahudumazaupimajiwaVirusivya
UKIMWI na UKIMWI wakatiwahaflayakuzinduamradiwatimizandotozakoWilayaniBahimkoani
Dodoma.
MwenyekitiwaKamatiyaKudumuya
Bunge ya UKIMWI naDawazaKulevyaMhe. Oscar Mukasaakizungumzakatikahaflayakuzinduliwakwamradihuo.
PIX6.SehemuyawanafunzinawazaziwaliohudhuriahaflayauzinduziwamradiwatimizandotozakowakifuatiliauzinduzihuoWilayaniBahi.
SehemuyawanafunzinawazaziwaliohudhuriahaflayauzinduziwamradiwatimizandotozakowakifuatiliauzinduzihuoWilayaniBahi.
Kikundi cha
ngomakikitumbuizawakatiwahaflayauzinduziwamradiwatimizandotozako.
PIX8.KatibuMkuuOfisiyaWaziriMkuu(Sera,
UratibunaUwekezaji) Bi DorothyMwalukoakitetajambonaMkurugenziMtendajiwaTumeyaKudhibiti
UKIMWI Tanzani (TACAIDS) Dkt. Leonard MabokowakatiwauzinduziwaprogramuhiyoWilayaniBahiMkoani
Dodoma.
KatibuMkuuOfisiyaWaziriMkuu(Sera,
UratibunaUwekezaji) Bi DorothyMwalukoakitetajambonaMkurugenziMtendajiwaTumeyaKudhibiti
UKIMWI Tanzani (TACAIDS) Dkt. Leonard MabokowakatiwauzinduziwaprogramuhiyoWilayaniBahiMkoani
Dodoma.
MwakilishiwaShirika la UmojawaMataifa la
Kupambanana UKIMWI (UNAIDS) Bw. KoechRotichkatikahaflayakuzinduamradiwaTimizandotoyakoBw.
AkizungumzawakatiwauzinduziwahuoWilayaniBahi
SehemuyawanufaikawamradiwaTimizandotozakowakitoashuhudazamafunufaawanayopatakupitiamradihuonakupongezaSerikalikwakuwezeshautekelezajiwamradihuo.
Baadhiyawazaziwawanafunziwanaonufaikanamradiwatimizandotozakowakitoaushuhudawafaidazamradihuo
.
MbungewaBahiMhe.OmaryBaduelakisisitizaumuhimuwawanufaikawamradiwatimizandotozakokutumiamradihuokujikwamuanakujileteamaendeleo.
Wakurugenzi 10
waHalmashaurizaWilayawametakiwaKuhakikishakuwamradiwatimizandotozakokwawasichanaBalehewaliopomashuleninawalionjeyamfumowaelimuunatekelezwakamailivyopangwanaSerikaliilikuletamatokeochanya.
Akizungumzakwaniabaya
Waziri waNchi, Ofisiya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWenyeUlemavuMhe.
JenistaMhagamaMei 25, 2019 WilayaniBahimkoani Dodomawakatiwauzinduziwamradihuo,
KatibuMkuuOfisihiyoanayeshughulikia Sera UratibunaUwekezaji Bi. DorothyMwalukoamesemakuwadhamirayaSerikalinikuonamradihuounaletaukomboziwakwelikwamtotowa
kike.
“ WalioposhuleninanjeyamfumowaelimunivyemamkatambuakuwamradihuunifursayakuwawezeshakujikwamuakiuchuminakuepeukavishawishinamaambukiziyaVirusivyaukimwikwaniSerikaliinatambuakuwakumuwezeshamtotowa
kike nikuiwezeshajamiinzima”Alisema Bi. Doorthy.
Mradihuuunatekelezwakatikamikoaya
Dodoma, Morogorona SingidaambapojumlayaHalmashuri 10
katikamikoahiyozinanufaika.Utekelezaji wake unatokananausaidiziwafedhakutokakutokaMfukowaDuniakwaajiliyakuendelezamapambanodhidiyamaambukiziyaVirusivya
UKIMWI naatharizake.
Akifafanuaamesemakuwawatekelezajiwamradihuowanalojukumu
la kuwajengeauwezowanaufaikailihatabaadayakipindi cha mradiwawezekujitegemeanakuondokananautegemezikutokakwaserikaliambapokwasasawanafunzikutoka
Kaya masikiniwanawezeshwakupatataulozakujisitiripamojanamahitajimengineikiwemosarezashule.
AliongezakuwawanafunziwotewanapaswakutambuakuwaSerikaliinawekezafedhanyingikatikamradihuokwakutambuaumuhimuwakundihiloilikujikwamuakielimunakutumiavyemavipajiwalivyonavyo.
Kwa upande wake
MkuuwaWilayayaBahiMhe. MwanamisiMukundaakizungumzakwaniabayaMkuuwaMkoahuoDkt.BinilithMahengeamasemakuwamradihuoumesaidiakuongezakiwango
cha ufaulukatikaWilayahiyo,
mahudhurioyawanafunzishuleniyameongezekakwakiwangokikubwa.
“TunaishukuruSerikaliyaAwamuyaTanokwakutuleteamradihuukatikaWilayayetukwaniumeoneshamafanikiomakubwakwakipindi
cha majaribioambachoumetekelezwakwaniumewanufaishaWanawakeVijanawenyeumriwakatiyamiaka
10- 24”,alisisitizaMhe. Mwanahamisi.
Akifafanuaamesemakuwamradihuoumefikia
Kaya 265 nawasichana 129unawanufaishawasichanabalehewalioposhulenina wale
wanjeyashule 45.
NayeMkurugenziMtendajiwaTumeyaTaifayaKudhibitiUkimwi
(TACAIDS)Dkt. LeonardMabokoamesemakuwamradihuoniwamiaka 3naunatekelezwakatikamikoa
3 ambapowanufaikawamradiwalionjeyashulewatajengwewauwezokwakupewastadizamaisha.
AlitajasababuzakuwalengawasichanawanaobaleheDkt.
Mabokoamesemakuwanipamojanakundihilohilokuwawaathirikawakubwaambapoasilimia 80
yamaambukiziya VVU yamewaathirivijanawakundihilo.
Mmojawawazaziwawanafunziwalionufaikanamradihuo
Bi
MayasaMussaamesemakuwawanafunziwanafurahiamradihuonaariyakwendashuleimeongezekakwanikilamweziwanapokeaelfu
25,000/- kwamwezikuwawezeshakukidhimahitajimuhimuyawanafunzihaoikiwemokupatatauloza
kike, sarezashulenamahitajimengine.
MradiwaTimizandotozakounatekelezwakatikamikoa
3 naHalmashurinaHalmashuri 10
ukilengakuwawezeshawasichanawaliobalehewakiwamashulenina wale
walionjeyamfumowaelimu.
No comments:
Post a Comment