WAZIRI wa Fedha na
Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, akipata maelezo juu ya uhifaji
wa mafuta kutoka kwa mmoja ya watendaji wa Kituo cha GAPCO Wesha Chake Chake
Pemba
WAZIRI wa Fedha na
Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, akionyeshwa baadhi ya matangi
ya kuhifadhia mafuta kutoka kwa mmoja wa watendaji wa Kampuni ya GAPCO huko
Wesha Chake Chake Pemba
BALOZI Mohamed Ramia
Abduwawa, akiangalia uhalali wa mafuta ya kula katika dumu la lita 20, baada ya
kuteremshwa katika bandari ya Wete kutoka kwenye moja ya meli zinazoteremsha
migo kwa kutumia bandari hiyo, wakati wa ziara ya kuangalia utendaji wa kazi
katika vitengo vilivyochini ya Wizara yake Pemba
AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh
Juma, akitoa malezo kwa waziri wa fedha na watendaji wake baada ya kuwasili
katika ofisi ya GAPCO Wete, kujuwa hali halisi ya uingiaji na utokaji wa mafuta
wakati wa ziara yake kisiwani Pemba.(PICHA
NA HANIFA SALIM, PEMBA)
No comments:
Post a Comment