Habari za Punde

ZSSF Yavifanyia Matengenezo Vifaa Vya Michezo ya Watoto Kwa Maandalizi ya Kusherehekea Sikukuu ya Eid Fitry Wiki Ijayo Baada ya Mfungo wa Mwezi wa Ramadhini

 KUELEKEA skukuu ya Edd lfitr baadhi ya vifaa vimeanza kufanyiwa ukarabati vilivyomo ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi, wakiwa katika matengenezo hayo mafundi wakizifanyia matengenezo vigari vya kupandia watoto kianjani hapo
MMOJA wa Mafundi kutoka ZSSF akiweka girisi katika moja ya vifaa vilivyomo ndani ya kigari cha kufurahishia watoto, ili kulainisha baadhi ya vipuri vilivyomo ndani ya kigari hicho, kama alivyokutwa wakiwa katika kazi hiyo.BAADHI ya vigari vya kufurahishia watoto vilivyomo ndani ya kiwanja cha Tibirini Chake Chake Pemba, vikiwa vimeberuliwa na kusubiri kufanyiwa ukarabati kama vinavyoonekana.(Picha na Abdi Suleiman Pemba 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.