Habari za Punde

DC Wete awazawadia washindi wa resi za Baiskeli

 MKUU wa Wilaya ya Wete Khatib Khamis Mwadini akimkabidhi zawadi kitita Cha Tsh, 200,000/- mshindi namba moja wa resi za baskeli zilizoanzia Jamhuri hall Wete kupitia Konde hadi Madenjani,ikiwa ni kwa ajili ya kumpongeza kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo, (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Wete Khatib, Khamis Mwadini akimkabidhi zawadi kitita Cha Tsh, 100,000/ mshindi namba mbili wa resi za baskeli zilizoanzia Jamhuri hall Wete kupitia Konde hadi Madenjani ikiwa ni kwa ajili ya kumpongeza kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete hivi makaribuni, ( PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Wete Khatib Khamis Mwadini akiwa pamoja na wapanda baskeli huko Madenjani baada ya kumaliza kwa mashindano ya resi za baskeli zilizoanzia Jamhuri hall Wete kupitia Konde hadi Madenjani ikiwa ni kwa ajili ya kumpongeza kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA,)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.