Habari za Punde

Hayawi Hayawi Hatimai Kupatikana Rais Mpya wa Shirikisho la Michezo Zanzibar ZFF

Rais wa Timu wa Jangombe Boys ya Jangombe Zanzibar Othman Kibichwa akipiga kura yake kumchagua Kiongozi wa ZFF Katika Uchanguzi Mkuu uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mafunzo Kilimani Zanzibar. kuwachagua Rais na Makamu wake 
Nafasi ya Urais umechukuwa na Seif Kombe Pandu na Makamu wake Ndg. Salum Ubwa.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.