Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki, Bungeni jijini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini Dodoma 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, Bungeni jijini Dodoma, Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.