Habari za Punde

Msanii Pierre Liquid Atua Bungeni Jijini Dodoma na Kusalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Katika Viwanja vya Bunge.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii Pierre Liquid kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Msanii mashuhuri Nchini Tanzania wa vichekesho Ndg.Pierre Liquid alipofika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.wa pili kulia ni Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Mhandisi Ramo Makani.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.