Habari za Punde

Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanbawake na Watoto Zanzibar Akabidhi Msaada wa Vyakula Uongozi wa Wizara ya Afya Pemba.

Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee, Wanawake na Watoto Pemba, Shadya Moh'd Suleiman, akizungumza na Uongozi wa  Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba , kabla ya kukabidhi sadaka ya Chakula kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitalini hapo.
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar, Akizungumza na Mtoto ambae amelazwa katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkaoni Pemba, wakati alipokwenda kutowa msaada wa Chakula katika
Hospitalini hapo.
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar, Shadya Mohammed Suleiman,akiwa amembeba mtoto wa ambae amelazwa katika Hospitali ya Abdalla Mzee Pemba, mara baada ya kukabidhi msaada wa Chakula kwa Uongozi wa  Wizara ya Afya Pemba kwa ajili ya Wagonjwa waliolazwa katika Hospital hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.