Mkurugenzi wa Taasisi
ya Vodacom Tanzania Foundation na Afisa Uhusiano
wa Taasisi hiyo, Rosalynn Mworia akizungumza kuhusu uzinduzi wa Ripoti ya Jamii kutoka Vodacom ( Social
Impact Report and new strategy to deliver inclusive growth) inayohusu kazi
zinazofanywa na Taasisi hiyo, uliofanyika Juni 27, 2019, Jijini Dar es
Salaam.
Naibu Waziri, Ofisi
ya Rais, TAMISEMI, Joseph Kandege akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa
Ripoti ya Jamii kutoka vodacom ( Social Impact Report and new strategy
to deliver inclusive growth) inayohusu kazi zinazofanywa na Taasisi hiyo,
uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri, Ofisi
ya Rais, TAMISEMI, Joseph Kandege, akikata utepe kuzindua Ripoti ya Jamii kutoka Vodacom ( Social Impact Report and new
strategy to deliver inclusive growth) inayohusu kazi zinazofanywa na Taasisi
hiyo, uliofanyika jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwenyekiti
wa Bodi ya TCRA, Dkt. Jones Kilimbe, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya
Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo, Mkurugenzi wa Taasisi ya
Vodacom Tanzania na Afisa Mahusiano wa Taasisi hiyo, Rosalynn Mworia na
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Hashim Hendi.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Joseph Kandege, akikata utepe kuzindua Ripoti ya Jamii kutoka Vodacom ( Social Impact Report and new strategy to deliver inclusive growth) inayohusu kazi zinazofanywa na Taasisi hiyo, uliofanyika Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TCRA, Dkt. Jones Kilimbe, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania na Afisa Mahusiano wa Taasisi hiyo, Rosalynn Mworia na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Hashim Hendi.
Naibu Waziri, Ofisi
ya Rais, TAMISEMI, Joseph Kandege (wa tatu kushoto) akifurahia jambo na Mkuu wa
Jeshi la Polisi Mstaafu Suleiman Kova( wa pili kushoto), wakati wa uzinduzi
wa Ripoti ya Jamii kutoka Vodacom (
Social Impact Report and new strategy to deliver inclusive growth) inayohusu
kazi zinazofanywa na Taasisi hiyo, uliofanyika leo Juni 27, 2019, Jijini Dar es
Salaam, wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na
Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo na kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom
Tanzania na Afisa Mahusiano wa Taasisi hiyo, Rosalynn Mworia.
(Picha na Paschal
Dotto-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment