Habari za Punde

Shamba la Utalii wa Ndani Kitundu Wilaya ya Magharibi A Unguja. Likiwa na Miti Mbalimbali ya Matunda na Viungo Asilia Vya Zanzibar.

Shamba la Utalii wa Ndani la Miti mbalimbali ya Viungo vya Zanzibar Wilaya ya Magharibi B Unguja likiwa katika eneo la Kitundu.  Hupatikana Miti yote ya Zanzibar ya Matunda na Viungo Asilia vya Zanzibar. Hutoa huduma ya Utalii kwa Wananchi wa Ndani na Wageni kutembelea shamba hilo kujionea Maliasili ya Zanzibar . 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.