Habari za Punde

Bonaza la Mchezo wa Basleti Ball Lililoandaliwa na ZYBA All Stars Tanzania Uwanja wa Mao Zedung Zanzibar Tanzania Bara Imeshinda Kwa Vikapu 66 -38 Dhidi ya Zanzibars

Wachezaji Nyota wa Timu ya Zanzibar na Tanzania Bara wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kucheza mchezo wao wa Bonaza la Basketi Ball lililoandaliwa na Taasisi ya ZYBA Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zanzibar Timu ya Taizania Bara imeibuka Bingwa kwa Mwaka 2019 kwa ushindi wa Vikapu 66 - 38.
Kikosi cha Wachezaji Nyota wa Mchezo wa Basket Ball kutoka Tanzania Bara wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao huo wa Bonaza la ZYBA, lililofanyika katika uwanja wa Mao Zedungs Zanzibar.
Kikosi cha Wachezaji Nyota wa Mchezo wa Basket Ball kutoka Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao huo wa Bonaza la ZYBA, lililofanyika katika uwanja wa Mao Zedungs Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.