Habari za Punde

Kampuni ya Simu ya Zantel Yazindua Ofa Kambambe ya Msako Time Katika Viwanja Mapinduzi Square Michezani Zanzibar.

Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma Zantel Bi. Aneth Jamillah Muga kulia na Mkuu Zantel Zanzibar Ndg. Mohammed Mussa Baucha wakizindua Ofa  ya Msako Time, kumuwezesha mteja wa Zantel kujiunga kifurushi cha Data kwa shilingi 1000/= au zaidi kujipatia huduma ya Internet kwa saa moja kila siku kuazia saa tisa mchana hadiu jioni saa kumi na moja bila kikomo kwa kasi. uzinduzi huoi umefanyika katika viwanja vya Mnara wa Mapinduzi Square Michezani Zanzibar. jana jioni.
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma Zantel Bi, Aneth Jamillah Moga na Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg. Mohammed Mussa Baucha wakizindua Ofaa Maalum ya Msako Time itadumu kwa kipindi cha miezi Mitatu kupata huduma hiyo ya Internet, uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge jana jioni. 

Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma wa Zantel Bi. Aneth Jamillah Muga akizungumza na Wananchi wa Zanzibar katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ofa ya Msako Time, kwa ajili ya wateja wao kwa kupata huduma bora. 
Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg. Mohammed Mussa Baucha akizungumza wakati wa hafla ya Ofa Maalum ya Msako Time uliozinduliwa katika viwanja vya Michezani Square Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.