Habari za Punde

Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Wafanya Ziara Maalum Kukagua Vifaa Vipya Vya Ujenzi wa Barabara za Unguja na Pemba, Katika Kituo cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jume(kushoto)akionesha na kufahamisha jambo kwa mawaziri na Waandishi wa Habari katika Ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali huko Kibele pamoja na kuangalia Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Baadhi ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar vikiwa katika eneo la Kibele Mkoa wa Kusini ambapo jumla ya Vifaa 15 vimenunuliwa kwa ajili ya kuimarisha na kujenga Barabara za Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali katika Ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali  huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Ujenzi Utunzaji Barabara (UUB)Ali Tahir Fatawi akitoa maelezo kwa Mawaziri na Waandishi wa Habari katika Ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali huko Kibele pamoja na kuangalia daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuangalia Vifaa vipya Vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali katika Ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa hivyo huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwke na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Waizri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Sira Ubwa Mamboya akizungumza katika ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali  huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Abdalla Juma Mabodi akitoa neno la Shukrani kwa Serikali  katika ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali  huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Hili ni Daraja la Kibondemzungu lililotembelewa katika ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali  huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Wakipita chini ya Daraja la Kibondemzungu wakiwa katika ziara maalum kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali  huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo  Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.