Habari za Punde

Mazoezi ya mashine maalumu za kuwekea kumbu kumbu za Wageni katika Mahoteli na Viwanja vya Ndege


Mfanyakazi wa Hoteli ya Swahili Diver ,ilioko Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba, Edi Kishore, akijifunza kutumia mashine maalumu ya kuwekea kumbu kumbu za Wageni katika Mahoteli na Viwanja vya Ndege ,FCR( FISCAL CASH REGISTER) zilizotolewa na ZRB baada ya kupatiwa mafunzo hayo huko katika ukumbi wa baraza la mji wa chake chake Pemba.


PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.