Habari za Punde

Mthamini mkuu wa serikali Zanzibar akutana na watendaji Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Pemba,


 KAIMU Afisa Mdhamini Wizara ya Ardhi Nyumba maji na Nishati Pemba, Fatma Salim Ali akifungua mkutano wa mthamini mkuu wa serikali Zanzibar huko katika ofisi za wizara hiyo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
MTHAMINI Mkuu wa Serikali Zanzibar Asha Hamid Rajab, akiungumza wakati wakuitambulisha ofisi hiyo kwa watendaji mbali mbali kutoka katika Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Pemba, huko Gombani Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.