Habari za Punde

Mwenge wa Uhuru Waendelea na Mbio Zake Katika Wilaya ya Chakechake Pemba.

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Ndg.Mzee Mkongea akipata malezo kutoka kwa mmoja wa watendaji wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Khamis Kombo, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo katika mkesha wa mwenge wa Uhuru Gombani Chake Chake Pmeba
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru.Ndg.Mzee Mkongea Ali, akipata maelezo juu ya shuhuli za wajasiriamali wa Chake Chake kutoka kwa Afisa Wanawake Wilaya hiyo Salama Khamis, wakati wamkesha wa mwenge wa Uhuru Gombani .
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid, akimkabidhi Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mzee Mkongea Ali, Taarifa ya Wilaya ya Chake Chake mara baada ya kuisoma ili ikakabidhiwe kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe:John Pombe Mgufuli, wakati wa kilele cha Mwenge huo Mkoani Lindi.
WANAFUNZI wa Skuli ya Alhamis Cump wakiimba wimbo wa Taifa wakati wamkesha wa Mwenge wa Uhuru, katika viwanja vya michezo Gombani Wilaya ya Chake Chake.
 (Picha na Abdi Suleiman -Pemba)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.