Habari za Punde

Zantel yaifikisha Promosheni Mzuka Time Chakechake

 AFISA  mauzo wa Kampun ya Simu za Mkononi Zantel Tanzania Upande wa Pemba, Said Musoud Ali akitoa maelekezo kwa baadhi ya wananchi wa mji wa Chake Chake, juu ya kutumia Promosheni ya Mzuka Taime, katika ameneo ya Mji wa Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AWAKALA wa Zantel Kisiwani Pemba, wakimuelimisha mfanyabiashara Fahad Hamad, juu ya Promoshan ya Msako Taime katika maeneo ya Machomanne Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

AFISA Mauzo wa kampuni ya Simu ya Mkononi Tanzania  Zantel Tawi la Pemba, Said Masoud Ali akielimisha wafanyabiashara juu ya utumiaji wa Promoshani ya Msako Tame, katika maeneo ya Mchomanne Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MFANYABIASHARA wa Vyakula Katika eneo la Mchomanne Juma Said, akimsikiliza kwa makini mmoja wa mawakala wa kampuni ya Simu ya Zantel Tanzania, juu  juu ya kutumia Promoshone ya Mzuka Taime, katika maeneo ya Mji wa Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MMOJA wateja wa kampuni ya Simu za Mkononi Tanzania akisajili laini yake ya Zantel kwa kutumia alama za Vidole, kutoka kwa mmoja wa mawakala wa kampuni hiyo katika maeneo ya Mji wa Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.