Habari za Punde

Kikosi Cha Timu ya MCC Kutoka Nchini Somali Wakiwa Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kabla ya Mchezo wao wa Kombe la Shirikisho na Timu ya Malindi unaotarajiwa kuaza Muda Mfupi jioni hii.aofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Wachzaji wa Timu ya MCC kutoka Nchini Somali wakiwa katika mazoezi kabla ya kuaza kwa mchezo wao na Timu ya Malindi Kombe la Shirikisho unaofanyika jioni hii katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.