Habari za Punde

Matayarisho ya Ujennzi wa Baraza la Fuoni Hadi Daraja la Kibondemzungu Umeaza na Kampuni Husika ya Mecco.

Burdoza la Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya MECCO likiwa kazini katika kusafisha eneo hilo la ujenzi wa barabara kwa kuaza kukata miti ilioko pembezoni mwa barabara hiyo kama lililovokutwa katika eneo la skuli ya fuoni likiwa kazini.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.