Habari za Punde

Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa na Mgeni wake Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa Ikulu jijini Dar es Salaam

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. TshepoMotsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. TshepoMotsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa kushoto akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kupokea zawadi ya picha Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.