Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya  katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya  katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed (katikati) alipokuwa akisoma muhtasari  wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) mshauri wa Waziri Dk.Mohamed Saleh Jidawi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bi.Asha   Ali Abdalla    (katikati) alipokuwa akisoma   wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Naibu Katibu Mkuu Bi.Halima Maulid Salum(kulia) 
Meneja wa Kitengo cha Maleria katika Wizara ya Afya Dk.Abdalla Suleiman Abdalla   akitoa ufafanuzi kuhusu Maradhi ya maleria katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ulichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Mkurugenzi  Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dk.Jamala Adam Taib  (kulia) alipokuwa akichangia  katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,Naibu Katibu Mkuu Bi.Halima Maulid Salum,(katikati)  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bi.Asha   Ali Abdalla ,[Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.