Habari za Punde

Timu ya Polisi Tanzania FC.Yatambulisha Mdhamini Wake Mkuu Lodhia Group.

Mwenyekiti wa timu ya Polisi Tanzania Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo (Kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni za Lodhia Bw. Harun Lodhia wakisaini mkataba wa udhamini ambapo kampuni ya Lodhia itakuwa mdhamini mkuu wa timu hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 

 Mwenyekiti wa timu ya Polisi Tanzania Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo (Kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni za Lodhia Bw. Harun Lodhia wakibadilishana mkataba wa udhamini baada ya kusaini ambapo kampuni ya Lodhia itakuwa mdhamini mkuu wa timu hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Kangi Lugola akizungumza  katika hafla maalumu ya kumtambulisha mdhamini mkuu wa timu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu Tanzania bara Kampuni ya Lodhia. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Kangi Lugola akizungumza na Mwenyekiti wa Makampuni ya Lodhia Bw. Harun Lodhia ambaye ndiye mdhamini mkuu wa timu ya Polisi Tanzania wakati wa hafla ya kutambulishwa kwake jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.