Habari za Punde

Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii Yenye Hadhi ya Nyota Tano ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo kulia Muwekezaji Mzalendo wa Hoteli hiyo Bwana. Rustamali Merani Shivji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Muwekezaji Mzalendo Bwana, Rustamali Merani Shivji alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar kwa ajili ya hafla ya ufunguzi wa hoteli hiyo yenye hadhi ya nyota tano Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria kuifungua Hoteli ya Kitalii yenye hadhi ya nyota tano ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Muwekezaji wa Hoteli hiyo Bwana. Rustamali Merani Shivji na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akitembelea jengo la Hoteli ya Madinat Al Bahr  baada ya kuifungua rasmin hoteli hiyo yenye hadhi ya nyota tano , kulia muwekezaji mzalendo wa hoteli hiyo Bwana.Rustamali Merani Shivji na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na kulia kwa Rais Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Mohammed Ramia Abdulwawa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Bwana, Rustamali Merani Shivji wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa hoteli hiyo wakiwa katika moja ya vyumba vya hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin leo Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja. kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Muwekezaji Mzalendo wa Hoteli hiyo ya Madinat Al Bahr Bwana. Rustamali Merani Shivji wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wake uliofanyika leo wakiwa katika moja ya sehemu za hoteli hiyo wakiandaliac mandhari ya ufukwe wa pwani ya mbweni wakiwa juu ya ghorofa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Iddi Haji Makame, akitowa taarifa ya Kitaalum ya Mradi wa Hoteli hiyo ya Kitalii yenye hadhi ya nyota tano ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar. 
Muwekezaji Mzalendo Ndg. Rustamali Merani Shivji akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli yake ilioko katika eneo la Mbweni Zanzibar ya Madinat Al Bahr, iliofunguliwa leo rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia hafla hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii yenye hadhi ya nyota tano Zanzibar ya Madinat Al Bahr mbweni Zanzibar nje kidogo ya mji wa Zanzibar.

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wageni waalikwa wakifuatrilia hutba ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo leo, baada ya kuifungua rasmin.
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Mawaziri wa SMZ wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika ukumbi wa hoteli hiyo leo.
Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa hoteli hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia hafla hiyo katika ukumbi wa hoteli hiyo mbweni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.