Habari za Punde

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri Wilaya ya Kati Unguja leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, akiwa katika ziara yake kutembelea fukwe za  Mahoteli ya Uroa akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kulia Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis na watendaji wa Wilaya hiyo wakiwa katika moja ya hoteli katika ukanda wa Uroa wakati wa ziara yale leo.
Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheir akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea utekelezaji wa Mpango kazi katika Wilaya hiyo kulia Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SmZ  Mh Haji Omar Kheir akitembelea  miradi mbali mbali ya maendeleo ya wilaya ya kati

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.