Habari za Punde

Balozi Seif Atembelea Maeneo ya Uchimbaji wa Mchanga Pangatupu.

Balozi Seif akiangalia Risiti moja baada nyengine za Maombi ya Wananchi wanaohitaji Mchanga kama zimefuata utaratibu uliowekwa kwenye Jengo la Wasimamizi wa Uchimbaji Mchanga liliopo huko Pangatupu.
 Msimamizi Mkuu wa Mashimo ya Mchanga ya Pangatupu Nd. Hassan Ishak Bakari kushoto alimueleza Balozi Seif  hatua za tahadhari ya Kimazingira zinazochukuliwa na uchimbaji wa mchanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B Ndugu Rajab Ali Rajab akifafanua jambo kuhusu maombi yaliyotolewa na mapendekezo ya Mashimo mapya ya mchanga ndani ya Wilaya hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.