Habari za Punde

Faru Tisa Wawasili Nchini Wakitokea Nchini Afrika Kusini.

Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Costantine Kanyasu pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Grumeti  wakitia saini hati za makabidhiano ya Wanyama aina ya Faru mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakitolewa nchini Afrika Kusini .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Costantine Kanyasu akiangalia Faru walioletwa nchini alfajiri ya jana wakitokea nchini Afrika Kusini,Faru hao tisa kati ya kumi wameletwa na Kampuni ay Guruneti inayofanya shughughuli za uhifadhi hapa nchini.

Moja ya Makasha yenye Wanyama aina ya Faru likipandishwa kwwnye ndege tayari kupelekwa kwenye moja ya Hifadhi za Taifa mara baada ya kuwasili wakitokea nchini Afrika Kusini.
Moja ya Makasha yenye Wanyama aina ya Faru likipandishwa kwwnye ndege tayari kupelekwa kwenye moja ya Hifadhi za Taifa mara baada ya kuwasili wakitokea nchini Afrika Kusini.
Makasha Maalumu yakiwa na Wanyama aina ya Faru wenye vinasaba vya Faru wa Tanzania yakiwa katika karakana ya Ndege katika uwanja wa kimataifa wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kuwasili kutoka nchini Afrika Kusini.
 (Picha zote na Dixon Busagaga)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.