Habari za Punde

Mbunge wa Jimbio la Mtama Mhe, Nape Nnauye Azungumza na Rais Mhe.Dkt. John Magufuli na Kuomba Msamaha Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe.Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuomba msamaha kwa Rais Dkt. Magufuli kufuatia tukio lililotokea miezi iliyopita.
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye akimshukuru Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye akimshukuru Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe.Nape Nnauye akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe.Nape Nnauye Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe.Nape Nnauye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
                                                                       Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.