Habari za Punde

Mchezaji Bora wa Mchezo wa Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kutoka Timu ya Jangombe Boys.Vigema.

Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe.Balozi.Ali Abeid Karume, akimkabidhi peya ya Viatu vya kuchezea mpira Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys.Ali Jecha Vigema kwa kuwa mchezaji Bora wa Mchezo wa Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.katikati Rais wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) Ndg. Seif Kombo (Boss)
Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys Ali Jecha Vigema akiwa katika tabasamu kwa kuibuka mchezaji Bora wa Mchezo wa Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar.kati ya Timu ya KMKM na Jangombe Boys. Timu ya Kmkm imeibuka na ushindi wa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.