Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Timu ya JKU na Polisi Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya JKU Imeshinda Mchezo Huo Kwa Bao 1-0.

Mshambuliaji wa Timu ya JKU akijaribu kuwapita mabeki wa Timu ya Polisi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar, Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Mshambuliaji wa Timu ya JKU na Beki wa Timu ya Polisi wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao.1-0. 

Waamuzi wa Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya JKU na Polisi wakitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao. 1-0. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.